LOVE KALI♥️
Umependwa na mapenzi ya dhati..na hii yote imetoka kwa fundi wa mbao
He died for you hao wengine wakidye ma nywele
Alitemewa mate wengine wakikumezea
Akadungwa na mkuki wengine wakidungia maclady flashy
Alichapwa wengine wakitry Kuhit on you
Yes you might have had a long past but thats why today is called the present
Everyday is a gift-na past inafaa kubaki penye iko~The Past
Hii love yake sijai ona yaani
Juu kama LOVE NI
HESABU imagine Alimultiply
Kama Love ni PHYSICS manze amehook Kwako Kushinda Hookes law
Kama Love ni CHEMISTRY imagine anataka kubond ata kushinda Dative bond
Kama Love ni ENGLISH me nataka kusikia kizunguzungu
Kama Love ni KISWAHILI basi Kitukuzwe kushinda ile textbook
Kama Love ni BIASHARA basi hii si Fair trade
Juu hii love ni BIOLOGY yake...Its in His DNA
Na ata ikifika the end...
Kama Love ni kifo manze alikudedia
One way!
God bless!

Comments
Post a Comment